4. Lesson 3 :: Jifunze ketengeneza Blog na weka Biashara yako Online
Lesson 3
Utakapobonyeza view Blog utaona jinsi Blog yako ilivyo badilika na kupata muonekano mpya kabisa.
Sasa tuanze kutengeneza menu:
Bonyeza New post
andika post zako unavyopenda wewe kama unapost mbili au tatu au zaidi wewe andika zote kwanza.
Baada ya kuandika post zote nenda kwenye list ya post zako na zipe label. Label ndio menu yenyewe.
Tazama picha kwa uelewa zaidi
Sasa bonyeza view blog na nenda kwenye label
Bonyesha label ya kwanza ambayo ni menu1 na copia url address.
Nenda kwenye Blogger na bonyeza layout
Kisha bonyeza Main menu
paste url uliokopi na bonyeza add kisha save.
Fanya hivyohivyo kwa label nyengine zilobakia.
Lesson 4 itapatikana baada ya siku chache tu
0 comments: