Kwenye huo mtandao (link ya mwanzo) tafuta template unayoitaka na idownload, unaweza ukadownload template zaidi ya moja ili uweze kuzijaribu na mwisho uchague inayokufaa.
Ukimaliza kudownload fungua hilo file, kama file lipo kwenye zip
right-click na extract hilo file. Baada ya kuextract angalia kama kuna file ilmeishia na .xml , hilo ndio file la template sasa hapo cha kufanya ni kama ifuatavyo:
Nenda kwenye Blog yako na fungua template kwenye links za kushoto na Bonyeza backup and restore button.
Bonyeza choose file.
Itafute template yako ilipo au ulipoiextract na chagua XML Document.
Bonyeza upload ili uiapload hiyo template yako
Hapo utaona template yako inaonekana Live on Blog, kama haijakubali rudia tena na kama umekwama kabisa basi tuulize tutakusaidia.
0 comments: